NELSON MANDELA - SAUTI YA UHURU
Kwaheri, Nelson Mandela
Waafrika Kusini wengi watamkumbuka Mandela kwa tabasabu. Walizoea kumuita kwa jina lake la ukoo "Madiba." Kuliko mtu yeyote, Mandela aliunda historia ya taifa jipya la Afrika Kusini. Baada ya kukaa korokoroni kwa karibu miongo mitatu, alichaguliwa kuwa rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kus
No comments:
Post a Comment