SASA HAYA MAPENZI NI HATARI SANA: TUKIO KATIKA PICHA: UGOMVI WA KIMAPENZI WAPELEKEA MUME KUUA MTOTO WA KAMBO IRINGA
Askari polisi akitazama mwili wa mtoto huyo |
hali ilivyokutwa ndani ya chumba hicho baada ya tukio |
Wananchi wa Makorongini wakimtazama mwanamke huyo wakati akihojiwa na kaka wa mtuhumiwa wa mauwaji hayo |
Mama wa mtoto Raymond katikati akimsimulia shemeji yake jinsi ambavyo mpenzi wake alivyoua mtoto ,kushoto ni mama mzazi wa mwanamke huyo |
Huyu ndie mzazi wa mtoto aliyeuwawa Bi Kudra Kahemela (23) |
Mama wa mtoto aliyeuwawa Kudra kahemela kushoto akiwa na mama yake mzazi katikati na dadake kulia |
Mmoja kati ya askari wa kike kulia akimsaidia kumfunga kanga mama wa mtoto Raymond |
Wanawake wa mtaa wa Pangani Iringa wakiuhifadhi mwili wa mtoto Raymond leo |
Polisi Iringa wakiutoka mwili wa mtoto Raymond leo |
umati wa wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo leo |
No comments:
Post a Comment