HAKUNA KAMA DIAMOND TANZANIA, HII NDO GARI YAKE MPYAAAAAAAAA. INAUZWA ZAIDI YA MILIONI 100 ZA KIBONGO ICHEKI HAPA
Hahaaaa kweli diamond noma sana, wanaosema ana hela kibao hawajakosea kabisa kwani kwa mafanikio aliyonayo na anaendelea kupata sidhani kama atafilisika leo. Najua kuna wengi mnaweza bisha na kusema kwani Mr Nice alikua wapi na leo yupo wapi, but ukweli ni kwamba Diamond na Mr Nice wanautofauti mkubwa katika kupanga na matumizi ya mshiko.
Hii si siri tena kua kwa sasa Diamond ndo anaongoza kwa kua msanii anaelipwa mshiko mrefu kuliko wote hapa bongo na nahisi anaelekea kua hata Afrika Mashariki. Nina ushahidi kidogo tu kua admin wenu wa Bongoclan nilipokua likizo katika jiji la Mwanza Diamond alipiga show katika jengo la Buzuruga Plaza na kulipwa shilingi Milioni 23. Sidhani kama kuna msanii yoyote wa bongo alishawahi kulipwa mshiko huo kwa show moja, ili afikishe mshiko huo nahisilazma apige kuanzia show 3 hadi 4 ili amfikie Damond.

Tuache Brabra na tuende kwenye utamu wenyewe, kama mnakumbuka miezi michache iliyopita msanii Diamond alinunua gari aina ya Toyota Prado na ilikua gumzo sana mtandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Sasa baada ya mshiko kuongezeka kaamua kununua gari ambayo ni funiko yani hakuna msanii mwenye kiburi wala jeuri ya kununua gari hiyo. Maana akijaribu tu basi ujue uchumi wake utatetereka mbaya, nayo si nyingine ni Toyota Land Criser V8 Mpyaaaaaaaaaaaaaa.

Katika fukunyuafukunyua ya timu yetu tukagundua kua ili mtu aweze nunua gari hiyo ni lazima awe na dola za kimarekani 70,000 au ambayo ni zaidi ya milioni 110. Hakika ni gari ya ukweli sana na hapa bongo wanaotumia magari haya kwa wingi ni watu wenye vyeo vikubwa serikalini mfano JK, Pinda na baadhi ya mawaziri.

No comments:
Post a Comment