Thursday, March 20, 2014
SIMULIZI "RAFIKI WA MAWANAMKE"
UKATILI HUU KWA WATOTO HADI LINI "MTOTO ABAKWA KISHA KUVUNJWA SHINGO"
SIMULIZI FUPI "YALAITI NINGESIKILIZA USHAURI WA WAZAZI"
Friday, March 14, 2014
Topic: Muda mfupi Kabla ya Kukata roho: NINI HUTOKEA?
Sijui niseme nimebahatika,au nina bahati mbaya,ya kushuhudia watu watano kwa nyakati tofauti wakikata roho.
Huu ndio uzoefu wangu:
1: Babu yangu alikata kauli kama siku nne hivi.
Siku ya tano akapata faham,tukaongea naye,na alikuwa mchangamfu mno,akituasa sana kuishi vema.
Baadaye akasema ana usingizi.
Akajifunika shuka.
DOKTA alipo kuja dk. Kumi baadaye akatuambia tutoke nje,
punde akatuambia babu ametutoka.
Alilazwa kwa siku tatu.
Akasisitiza sana mwanae aitwe.
Mwanae alipo fika tu,akamkumbatia,
alipo lala,kesho yake tukaambiwa kafariki.
Alihangaika sana kwa kurusha miguu,kujitingsha etc kabla ya kukata roho.
Lakini kuna tales nyng zingne walizo ona wengine.
Karibuni.
Hii ni situation inaitwa "near death experience!" ambayo hutokea kabla ya kifo, wakati ambao roho inaacha mwili!.
By hippocratessocrates:
Sijui kama nitakujibu au nitakuwa nje ya mada/swali.
By Pasco:
Binadamu ana sehemu kuu mbili, mwili na roho ambayo ndio huo uhai. Kwa mfumo wa imani, mwili umeumbwa kwa udongo, hivyo tumetoka mavumbini, na ni mavumbini tutarudi!. Baada ya kuumbwa kwa udongo, Mungu akatupulizia pumzi ya uzima, huu ndio uhai, hii ndio roho, hivyo mtu anapokufa, kinachokufa ni mwili tuu, roho haifi, bali roho huuacha mwili!, (inakwenda wapi- tembelea Life after death: What Happens After Death? - Jamii Forums). Kitendo cha roho kuuacha mwili, ndicho hicho kiitwacho, kukata roho!, na huo ndio mwisho wa uhai wa mwili, hiyo roho ikiisha uacha mwili, huendelea na maisha mengine, mbinguni, motoni, peponi, ahera, jehanum, kwenye reicarnation, spiritual world, etc!.
Kuna aina nyingi za roho kuacha mwili, usingizini, kwa uzee, kwa kuugua, kwa kuuliwa, kwa kujiua au kwa ajali. Hivyo pilika pilika za roho kuacha mwili mara nyingi zinategemeana unakufaje, umejiandaaje kufa, na umejaaliwa kiasi gani kufa kifo chema!.
Kwa wanaokufa kwa kuuliwa, au ajali, mara nyingi hutegemea injury iliyosababisha kifo huanzia wapi, ikianzia kwenye brain au kwenye moyo, then kifo ni instant, there and then!, bila maumivu yoyote na bila kukura kakara zozote, na ndio maana wadunguaji, hulenga kichwa au moyo, na utekelezaji wa hukumu za kifo za kisasa au mtu atapigwa risasi ya moyo, au atachomwa sindano ya sumu kuusimamisha ubongo!, no pain!. Kunyongwa ni unyama!.
Kwa vifo vya uzee, mara nyingi hutokea usingizini, na hawa wazee huwa wamejiandaa kufa, na kuna wengine kutoka na kuzeeka sana, wanamuomba Mungu, awachukue tuu wasiendelee kuwa mzigo kwa waliobaki, hivyo wengi huita watoto wao, huwapa usia, na kusubiria tuu siku ya siku na hawa hawana kutapatapa kwa sababu wame accept death!. Ukiona anaekufa kwa uzee anatapatapa, ujue huyo ama haja accept, au anateseka kufidia mambo fulani mabaya aliyoyafanya wakati wa uhai wake hivyo malipo ni duniani, kama hajafa hupata mateso kufidia, na mateso hayo ndioko kule kutapatapa huwezi jua endaikawa anakula bakora ila nyinyi hamzioni!. "Ila pia kuna wazee ambao wamekataa kukiruhusu kifo, bado wanaishi ila ni katika miili mingine na mahali pengine!"
Wanaokufa kwa ugonjwa nao ni kama wanaokufa kwa uzee, wale wanaoaccept kifo, hufa kimya kimya usingizini, wale wasiokubali matokeo hutaka kulazimisha kuishi, ila ugonjwa tuu wenyewe as ugonjwa ni mapigo, hivyo akitapatapa ujue anamalizia kufidia, hizo pia ni bakora!.
Kwa wanaokufa kwa kuuwawa, au kwa ajali, hawa wanakuwa hawajajiandaa kufa!, hivyo kifo kwao ni unexpected, mtu anaweza kuwa amekufa mwili, ila roho yake bado haijaenda mbali na mwili, hivyo anaona na kuyasikia yote yanayoendelea, sometimes hadi mwili unaposhushwa kaburini, ndipo roho huondoka!. Kwa vifo vingi vya ajali ambavyo miili haikupatikana kufanyiwa mazishi rasmi, baadhi ya roho hizo hubaki zikitangatanga na ndizo mizimu, ama huwatokea watu etc, zinaitwa Ghosts auWandering Spirits, unaweza kunisoma hapa kuhusu hawa "wondering spirits! hapa!, "Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza.
Kisa changu. Mimi ni" bike lover" siku zote usafiri wangu ni bike, ninazo pikipiki 6!, tano kati yake ni big bikes over 750cc!, Mbili nimenunua bongo, tatu niliziagiza, moja niliifuata!. My last bike ni big flying machine aina Harley Davidson "Buel" Firebolt 1200 CC niliinunua US, bongo ilikuwa the one and only na mpaka leo sijabahatika kuona hiyo kitu kwenye streets za bongo, hivyo huwa ninakwenda nayo popote, I simply fly!. Speed yake ni 240kph!.
Wakati maonyesho ya 88 yakifanyika Morogoro, mimi nilikuwa nalala Dar, asubuhi na paa zangu kwenye Moro ni 1:45 hour ride! na jioni narudi Dar!. Dar -Dodoma ni 3:45 hours ride. Dar-Moshi ni 4 hour ride, Dar-Arusha 5hrs ride!, I was simply mad!. Mind well, my wife and my bog boys wote wana drive magari yao, to me bike was my choice for convenience!, hivyo I don't regret what happened to me na bike ilichonifanya!. Na nimefanya safari za hivyo mara kibao!.
Nimeisha onya mara kibao, hatari za kusafiri na bike long distance, sikusikia!. Ukipenda mno bike, unakuwa kama kichaa fulani hivi, husikii mpaka yakukute!. Siku moja nikitoka Dar-Dodoma, nikiwa mwendo wa 160kmh, nilipata ajali mbaya, nikabingirishwa nilipoangukia, ikawa ndio hapo hapo!. Sikujitambua tena mwili, bali nilisikia tuu sauti za watu wakisema, huyu jamaa ameishakufaa hapa hapa!. Nakasikia watu wakisema leta kanga tumfunike, tungojee polisi waje kuuchukua mwili!. From then, sikujua tena nini kilichoendelea!.
Kumbe huku nyuma kuna dereva mmoja wa TAMISEMI naye ni bike love, alikuwa akiipenda sana bike yangu na mara kibao tunapishana Dar-Dodoma. Sasa alipoona ile bike, akaijua na kuuliza huyu jama yuko wapi, akaambiwa kafa pale pale!, akapelekwa kuonyeshwa mwili ulipofunikwa!. Kwanza aliipiga picha ile bike kwa simu yake, kisha akaupiga picha mwili wangu ukiwa umefunikwa. Kisha akasema huyu mwenye piki piki, namfahamu, naomba kumfunua kujiridhisha kama ndiye yeye!, akaifunua ile kanga, kuniangalia akakuta ndiye!, akawauliza umepita muda gani, maana hata damu ilishaanza kuganda, wakamwambia nusu saa!. Akanigeuza kunipiga search akakuta simu, akapiga home na kuwaeleza alichoelezwa!. Sasa katika huko kunigeuza ndipo akasema mbona mwili bado wa moto?!, akanisikilizia kwa karibu akasikia napumua kwa mbali!.
Akasimamia nikabebwa kuwahishwa Dodoma hospital, kwenye pochi wakakuta kadi yangu ya AAR, wakawapigia, mimi kuja kuzinduka ni saa 6 za usiku, nimezungukwa, wife ndugu, waandishi wa Dodoma, polisi, ndipo nikakumbuka kilichotokea na zile sauti za mfunikeni!.
Tangu niliposikia zile sauti za mfunikeni, kimoyo moyo nikajisemea I can't die!. No way!. Kumbukumbu zikapotea mpaka nilipozindukia hospital!. Ndipo nikaambiwa baada tuu ya ajali, walikimbilia kuniokoa, wakakuta sipumui wala sitingishiki, hivyo wakajua nimekufa!.Jamaa akanionyesha zile picha!.
Japo kifo ni kweli kimeumbwa, ukijiandaa na kukubali kufa, unakufa!. Ukisema no to death, no matter umeumia kiasi gani, you might live!. Dodoma wakashauri wafanye amputation ya baadhi ya viungo!, AAR wakazuia, kesho yake asubuhi nikaletewa charter na kuwa flown to Muhimbili, bima yangu ilikuwa ndogo, ingekuwa kubwa ningepelekwa Nairobi. Pale Muhimbili, wakajitahidi walivyoweza, nikapelekwa South huko bili ikawa too much to bear, nikahamishiwa India, japo sikupona kabisa, but I'm still alive!.
Naombeni msiniulize maswali yoyote kuhusiana na hii ajali, ninapata tatizo liitwalo "stigmata" hivyo kurudiwa na maumivu makali!, ila mimi ni miongoni mwa hao tuliopitia "near death experience!".
By Apolinary:
Swali lako gumu kulijibu.
Labda waliowahi kukata roho kama wangekua wanarudi kutuambia nini kilitokea. lakini katika hali ya kawaida huwezi kujua ni nini kinatokea pindi Binadam anapouacha Uhai!
Mkuu Apolonary,ni gumu,ila naamini linajibika.
Tuna magwiji wa philosophy,medicine na religious experts humu.
Tusubiri tuone.
Labda ujaribu kwanza then unaweza kutupatia jibu zuri maada watafiti jufanya majaribio
Mmh maswali mengine bwana, sijui mlengwa ni nani hasa....kuna maswali marahisi ambayo majibu yake ni magumu kama ni nini kinatokea muda mfupi kabla ya kuzaliwa na magumu ambayo majibu yake ni magumu pia kama hili lako la sasa!
King'asti
Hili Ni suali la msingi Sana. Huwa najiuliza Sana kuhusu hili.
Money Stunna
Ilo swali gumu kuna mjomba wangu mwaka juzi alituita caracas venezuela hakatuaga na kutoa wosia .
Usiku huo hakafariki ninachoshangaa mbona wengine wanajua siku yao
Sista
jamani mbonamnatutisha? wengine tuna roho nyepesi
Bujibuji
Hebu tufanye umwiliisho (reinarnation) Reincarnation - Wikipedia, the free encyclopedia
kinyoba 18:35 19th February 2014
Naskia roho inapokutoka lazima kimba kidogo kikutoke.. Waswahili wanakuambia inaitwa NGAMA. Yaani cha mwisho kabisa! Ndio maana hata lugha za mtaani utasikia neno NGAMA.. Yaani cha mwisho kabisa alichobakiwa nacho!
Pasco
Hii ni situation inaitwa "near death experience!" ambayo hutokea kabla ya kifo, wakati ambao roho inaacha mwili!.
Myakubanga
By Pasco:
Hii ni situation inaitwa "near death experience!" ambayo hutokea kabla ya kifo, wakati ambao roho inaacha mwili!.
Rudi mkuu Pasco
Mtokambali
Nafikiri hata kwa wale tuliowahi kufanyiwa operesheni ukiwekewa ile dawa wanaita nusu kaputi unahama ulimwengu huu,ule si usingizi bali nusu ya kifo. Kwa kawaida mambo unayoongea wakati ukipotelea usingizini na yale utakayoongea au kufanya ukiwa unarudiwa fahamu huwa ni sawa na experience ya mtu anayekufa aise. Na muda wote wa huo usingizi mzito huwa ni kama kifo japo unapumua,ubongo wako unakuwa umeonja mauti....
Sista
mada nzito hiiii
bunited
Myakubanga
By Bujibuji:
Hebu tufanye umwiliisho (reinarnation) Reincarnation - Wikipedia, the free encyclopedia
Ahsante mkuu Bujibuji.
Sasa,ndio kusema pale wanakuwa wanaenda huko kwenye state ya unyama,spirip au ubinadamu mwingine?
Naomba unielezee vizuri kuhusu hyo reinarnation.
Defend or die
We acha tu nilipata tabu sana wakati wa kukata roho ni ngumu hiyo afadhali ukate mpingo kwa kiwembe.
albuluushiy
By Pasco:
Hii ni situation inaitwa "near death experience!" ambayo hutokea kabla ya kifo, wakati ambao roho inaacha mwili!.
una mambo wewe
SOURCE: JamiiForums.com
Thursday, February 27, 2014
Universal secrets......!!
Habari zenu wapendwa,
kuna hiki kitu kinaitwa universal secrets, yaani siri za ulimwengu au siri za dunia hii tunayoiishi. Kawaida mtu unazaliwa na unaanza kupata kumbukumbu at least kuanzia miaka miwili na nusu au mitatu ila tangu ukiwa umezaliwa hadi kufika miaka mitatu hata umeditate vipi huwezi kukumbuka zaidi yake utahadithiwa kuwa ulikuwa mlizi sana, ulikuwa hupendi watu, ulikuwa unapenda kula, ulikuwa mjanja na uliwevuka haraka kuliko umri n.k
Kilichonifanya nifikirie kuhusu hizi universal secrets ni kuwa pale hasa kutoka miaka 0 hadi 3 kama watu wangekuwa wanazaliwa wanaongea wangetoa siri za universal maana ile lugha hakuna anayeweza kuijua na ndio maana watu husema watoto wachanga ni malaika.
Mfano mawasiliano ya mtoto na mama huwa ni ya kuguess kuwa mtoto huyu akilia anataka nini au kwa nini leo halali hana usingizi kabisaa au leo kalala sana. Iwapo watoto hawa wangeweza kusema wangetoa siri nyingi za dunia na ulimwengu huu.
Kilichonisukuma hasa kuandika uzi huu ni baada ya kusoma ule uzi wa kusoma saa kinyume na mshale unavoelekeza, hadi naingia mitamboni hakuna aliyekuja na jibu sahihi, wengine wakasema ni free masons and the like ila to me ni universal secrets. Na mwanadamu anapotafuta kujua universal secrets ndo hapo mtu anaenda beyond thinking yaani anakuwa yuko ulimwengu mwingine na anapokuja na data kujaribu kuzishare na dunia hakuna anayemuelewa na wengine wanamuona chizi.
Hii ni pamoja na wanaokuja na stori za kusema walishawahi kufa na kufufuka na muda wamekufa vitu walivyoona wakivisimulia huku duniani huwa wanadhihakiwa kuwa hawakufa bali walizimia na hivo wanavosimulia wanaambiwa ni ndoto tuu au maluweluwe yamewapanda kichwani na watakuwa wanasumbuliwa na malaria.
Sasa basi naomba wanajamvi wote wenye interest na hii universal secrets kuchangia chochote unachojua kuhusu siri za dunia hii japo wapo wanaosema ukifanikiwa kuzijua siri za ulimwengu huu huwezi kuishi utakufa tuu.
Ushawahi kusikia watu wakisema watoto wachanga huwa waanaona wachawi?
Kuna wanyama pia wanashirikishwa kwenye siri hizi za ulimwengu kama mbwa na paka, je unalolote zaidi ya haya ambayo ungependa kutushirikisha, karibu kuchangia.
Wednesday, February 26, 2014
Ndugu zangu,
Kwa Wabunge wetu wateule Bunge la Katiba kuendelea kupoteza muda kujadili posho na kanuni ambazo hazijakaa sawa mpaka sasa ni kuzidi kupoteza muda kwa kazi ambayo wananchi tulitarajia waende wakaifanye kule Dodoma; kujadili na kupitisha rasimu ya pili ya Katiba yenye kutokana na mawazo ya Wananchi.
Sijui kama kuna Wabunge wengi wateule wenye kujua, kuwa hata kama watakaa Dodoma kwa siku 90, bado, kwa hesabu za Kisayansi, hiyo ina maana ya dakika 54,000. Ukizigawa hizo kwa wajumbe 600 tu, unapata wastani wa dakika moja na nusu kwa siku ya kuongea kwa kila mjumbe. Ni kwa siku 90 na kwa kuchukulia kuwa watafanya kazi kwa saa kumi kwa siku, kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili.
Hivyo, kwa hesabu hizo, nauona ukweli, kuwa hata hizo siku 90 hazitawatosha wajumbe wa Baraza la Katiba, endapo, sura ya hali itakavyokuwa Bungeni itakuwa kama inavyoonekana sasa. Hali ya mivutano na hasa kama Bunge hilo litaamua kufanya kazi ya kubadili vifungu vya rasimu hiyo na hata kuweka vipya.
Maana, kutahitajika mjadala mrefu. Na mjadala huo utatoka hata nje ya Bunge, kwa maana, wananchi nao watakuwa wakijadili kupitia vyombo vya habari na kuathiri upepo wa majadiliano ndani ya Bunge. Hivyo basi, kutakuwa na hali ya kuahirishwa vikao mara kwa mara na siku pia kuongezeka.
Nahofia pia, kuwa Wabunge wazoefu kwenye kuzungumza ndio watakaozungumza, na hivyo basi, watakuwa wamekula muda wa wenzao. Na matokeo yake, ni ukweli kuwa, kuna wabunge walioko Dodoma sasa, watakaozimaliza siku 90 kwa kuishia kupiga kura tu, na si kujadili Katiba wakasikika na kuonekana na waliowatuma kwenda Dodoma
Najaribu kufikiri sanaaaaaa
TUNAKUMISS SANA J.K.NYERERE
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz....Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.......
2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo...Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!..
3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi pale UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza Samweli "Samweli kwenu mnakunywa maziwa kweli?!.." Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!...
4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!.. Nyerere
akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar!..
5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!..Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais wa Tz !...
6. Edward Lowassa-Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!..Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!..
Wakamuuliza Nelson Mandela,tukupe nini ili uache usumbufu na harakati zako,wakampa cheki ajiandikie kiasi cha fedha,yeye akaigeuza kwa nyuma akaandika UHURU NA USAWA WA WATU WANGU-
Hakuna tena mfano wa viongozi hawa siku hizi.
Mwingereza anayejulikana kwa jina la kalamu kama Lewis Carroll alishawahi kusema, If you don’t know where you’re going, any road will get you there.
Well, kuna wanasiasa hawakufahamu kwa nini Hadidu za Rejea zilikuja na misingi kumi ambayo iliambatana na sheria ya mabadiliko ya Katiba 2013 iliyoacha milango ya kisheria wazi ambayo kwa sasa inatafsiliwa kwa namna yoyote bila hata kuvunja sheria. Wengine wanasema kazi ya Bunge la Katiba ni koboresha, huku wengine wakisema, kazi yake haina mipaka kisheria.
Majibu yake kwa sasa ndiyo haya yameanza kujitokeza kutoka kwa viongozi wakuu wandamizi wa serikali. Kama kuna viongozi wa siasa au vyama hawakufahamu kusuka au kunyoa lakini kwa sasa wako kwenye Bunge la Katiba, basi acha wanyolewe au wasukwe na serikali ya CCM ili wajitambue katika nafasi zao za kisiasa.
Waziri Mkuu ni mjumbe tu kwenye Bunge la Katiba pamoja na kwamba ni Mwenyekiti wa wabunge wa CCM lakini huwezi kuondoa msingi wa athari za matamko yake katika jamii. Kwa sasa yuko pale kutetea hoja na sera ya chama chake ambacho kina wanachama 'milioni tano'.
Hii ndiyo habari ya Mjini. Mnaotaka Serikali ya Tanganyika, mnakusudia Tanganyika ipi?. Tanganyika ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu!,
Mimi ninachotaka ni kuvunja Muungano au kama haiwezekani, basi serikali moja itanitosha kwa miaka 50 ijayo. Siitaki Tanganyika kwa sababu zijawahi kuiona. Sihitaji serikali mbili kwa sababu hazijajenga mazingira halisi ya serikali mbili. Serikali tatu ni kupoteza muda tu kwa sababu haziwezi kudumu. Serikali nne ni kuongeza gharama wakati shule hazina hata ubao wa kufundishia achilia mbali chaki na madawati.
Unapoona wingu linatanda, huna budi kutarajia mvua kunyesha lakini vile vile disappointment is all part and parcel of Homo sapiens.
Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekiri kuwa Bunge Maalumu la Katiba, limeanza na changamoto, huku akihoji wanaotaka Serikali ya Tanganyika, wanakusudia ipi ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu.
Mbali na hilo, amesisitiza yeye na chama chake cha Mapinduzi wanataka mfumo wa serikali mbili na si tatu kama Rasimu ya Katiba ilivyopendekeza.
Amekiri kuwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo, utakuwa na misukosuko mingi, lakini utavuka salama.
Pinda aliyasema hayo jana wakati akifungua semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye Makao Makuu ya chama hicho, White House mjini hapa.
Pinda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, alisema zipo hoja nyingi za msingi katika mchakato huo wa kutunga Katiba, lakini kubwa na litakalochukua muda mwingi ni muundo wa Serikali. Hata hivyo, alisema wazi msimamo wake na ule wa CCM kuhusu pendekezo lao la kuwa na Serikali mbili, kinyume cha Rasimu ya Katiba inayopendekeza Serikali tatu.
“Hata ukiniamsha usingizini usiku wa manane, kwangu mimi bado Serikali mbili ni muundo mahsusi.
“Mwalimu Nyerere hata wakati ule alikaa na Tanganyika kwa kipindi kifupi, mwaka 1961 Tanganyika ikawa huru, 1962 tukawa Jamhuri, 1963 Zanzibar ikapata uhuru (baadaye alisema Uhuru wa bandia), mwaka 1964 ikazaliwa Tanzania.
“Tanganyika ya kikoloni ndiyo iliyokaa muda mrefu, hii nyingine ni kutoka mwaka 1961, 1962 na 1963. Ikazaliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo hii miaka 50 tuko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunadai Tanganyika,” alihoji Pinda na kuongeza:
“Tanganyika ipi? Nikadai ile ya mkoloni? Kipi kimo katika Tanganyika ya miaka mitatu? Tanganyika wakati inazaliwa nilikuwa na miaka 13, Tanzania nilikuwa na miaka 16, naujua vizuri Muungano. Kuanzia pale sijui chochote kingine, kama ilivyo wengi wetu humu.
“Au wale waliozaliwa miaka 50 iliyopita, wanaijua vizuri zaidi Tanzania. Tanganyika ipi mnazungumzia? Maana haikuwapo zaidi ya ile ya kikoloni iliyokaa muda mrefu.”
Alisema njia bora ni kukaa chini na kuzungumzia matatizo ya muundo wa Serikali mbili na kuyaboresha kwa nia ya kusonga mbele kuliko kudai Serikali ya Tanganyika. Waziri Mkuu alisema si vyema kuanza sasa kujaribu muundo wa Shirikisho baada ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, huku akitolea mfano wa Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC).
“Pale kuna Shirikisho la Afrika Mashariki, lakini angalia mambo yanavyokwenda sasa wakubwa wakikutana. Utasikia wanazungumzia ardhi, mara pasipoti.
“Haiwezekani miaka 50 baada ya Muungano tuanze majaribio ya Shirikisho. Aah, wapi tunataka kwenda. Tanzania Bara na Zanzibar wana historia ya udugu na ushirikiano. Ukaribu, lugha moja na kuoleana,” alisema Pinda.
Huku akirejea kauli mbalimbali za Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alisema hata hilo Shirikisho linalopendekezwa litakwama, kwa sababu Rais wake hatakuwa na ardhi, na kama nchi wanachama zitakataa kutoa ardhi, atafanyaje kazi zake.
Alisema tatizo lililopo ni utambulisho wa Zanzibar na suala la umiliki wa ardhi kwa Tanzania Bara wakiwa visiwani, ambayo alisema ni mambo yanayozungumzika.
“Suala hapa ni utambulisho wa Zanzibar ambalo hata hivyo si suala kubwa na tunaweza kulisahihisha. Pia liko suala la ardhi Zanzibar. Lakini wanaotaka ardhi huko, lazima wajiulize je, kweli iko ardhi ya kutosha,” alieleza.
Akizungumzia Bunge Maalumu la Katiba alisema, “Tumeanza mchakato wa kutunga Katiba, lakini tayari kuna changamoto zetu, lakini tumeanza kwa kuchagua Mwenyekiti wa Muda na kutengeneza Kanuni wiki ijayo zitakuwa tayari ili tulifikishe mwisho hili,” alisema na kuongeza:
Bunge Maalumu la Katiba limeanza vikao vyake wiki iliyopita, lakini wiki ijayo linatarajiwa kuanza mijadala baada ya kupitishwa kwa Kanuni na kuchaguliwa kwa Mwenyekiti na hatimaye kuzinduliwa rasmi.
Hata hivyo, tayari kuanza hali ya sintofahamu kwa wabunge kuanzia kudai suala la nyongeza ya posho, hadi katika vikao vyao ya kazi ambako zimeshuhudiwa kauli zinazoashiria kazi nzito mbele na inayopaswa kuwa na udhibiti ili mijadala isitawaliwe na jazba na kutekwa na makundi yaliyowapeleka bungeni humo.
Aliwaomba wajumbe wa semina hiyo ya Jumuiya ya Wazazi kuwaombea wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, watimize majukumu yao kwa maslahi ya Taifa.
Tuesday, February 25, 2014
Ningependa kuuliza , hivi kweli Tanzania kuna wasomi? Na kama wapo je ni viashiria (indicators) gani vya kuonesha kuwa hii nchi ina wasomi tena wengi?
Naomba msinishangae kwakuwa aulizaye ataka kujua jamani, na kwakuwa nijuavyo mimi ni kwamba msomi ni yule anayetumia elimu yake kufanya vitu vinavyoonekana, haogopi kufukuzwa kazi kwa kutimiza wajibu wake kitaaluma, ni mkereketwa wa kweli wa nchi na rasirimali zake, hawezi kukwepa wajibu wake hasa pale wajibu huo unapoangukia kwenye eneo husika na alichosomea na ni muumini mzuri wa miiko ya taaluma yake.
Tanzania ya sasa ina professors wangapi? Ina PhD holder’s wangapi? Ms wangapi?
Muonekano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii unahakisi idadi ya wasomi tulio nao nchini?
Tanzania ya enzi za wasomi wachache na ya sasa ni sawa?
Kama ni kinyume na muonekano bora, je tunaweza kujua ni kwanini tuna non performer scholastics nchini?
Nawasilisha wakuu.
Precision wamzalilisha Dr Azaveli Rwaitama mwanza baada ya kumutia polisi ndani ya ndege na kumshitaki kwa kosa la kukataa kutii amri za wahudumu. Kwa sasa anashikiliwa na polisi.
Alikuwa ameketi kwenye kiti cha emergence exit na kuwataka wahudumu wampe maelezo kwa Kiswahili kwani ndege za Precision ni za kitanzania na zinaoparate nchini. Wahudumu walikataa na kumwamuru ahame kama yeye hajui kingereza- Kwa kuanzia hapo polisi waliitwa na kumtia mbaroni.
Ninachojua mimi ni kwamba ndege nyingi hutumia Lugha kuu za kimataifa na Lugha za nchi husika. Ukipanda Ethiopia line au Turkish na zingine nyingi watakupa maelezo kwa Lugha yao ya Taifa na zingine za kimataifa. Inakuwaje leo Tanzania tushindwe kutoa flight instrusctions kwa kiswahili?
Precision mmemkosea Dr Rwaitama mwombeni radhi na mlipeni gharama zote za kusimamisha safari yake ya Bukoba.
-----------------------------------
Maelezo ya Dr. Azaveli Rwaitama
By Alex Manonga
Nawashukuru wote kwa kunipa pole. Wanasheria wa rafiki yangu binafsi Dr Antony Diallo, mmiliki wa Star Tv na Radio Free Africa, na wanasheria waliotumwa na Nd. Sungusia wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ( Legal and Human Rights Centre, LHRC) chenye makao makuu Dar es Salaam walifika kituo cha polisi cha kiwanja cha ndege Mwanza na wakafanikiwa kuniwekea dhamana na hivyo niko nje kwa dhamana vinginevyo ningelala selo ndugu zangu _Kesho nitaripoti polisi kufuatilia juu ya kesi iliyofunguliwa dhidi yangu na Precision kanma itaenda mahakamani au vipi.
Kilichotokea kifupi ni hivi. Nilipanda ndege Flight PW 0492 iliyotarajiwa kuondoka Mwanza saa 3 dakika 50 asubuhi kuelekea Bukoba. Nilikuwa nimekaa kiti namba 2B na mtafiti mmoja anayefanya kazi Maruku Tea Estate huko Bukoba alikaa kiti na. 2A kwenye dirisha kushoto kwangu. Wakati ndege inaanza kukuelekea inakoruka alikuja mhudumu wa kike akatuuliza na yule mwenzangu kama tunajua Kiingereza na mimi nikasema kwa utani huku nikicheka kuwa tunajua kidogo. Yule muhudumu gafla akatahamaki akasema kama sijui kiingereza aniamishe kiti.
Mimi nikamjibu kuwa hakukuwa na haja maana mimi najua kiingereza maana ni mwalimu wa siku nyingi wa Kiingereza lakini nilichokuwa nashangaa ni kwa nini nyie wahudumu mnapenda kutoa maelezo kwa Kiingereza wakati mgeyatoa maelezo hayahayo kwa Kiswahili mara baada ya kujua kuwa sisi ni Watanzania na tunajua Kiswahili vizuri zaidi kuliko Kiingereza. Binti huyo nikaona ametaamaki na kuanza kusema lazima niteremshwe.
Mimi nilidhani masihala maana niliwahi kutoa ushauri huu hapo nyuma kwa mhudumu mwingine wa Precision Air na yeye alinijibu kwa heshima kabisa kuwa wao maelezo wameambaiwa lazima wayatoe kwa Kiingereza. Mara yule mhudumu wa kwanza akaondoka akaja mhudumu mwingine wa kike akasema kama sijui Kiingereza niamishwe nikamjibu wa taratibu na tabasamu langu la kawaida ninalolitoa katika mazingira kama haya ya dalili za kukosekana busara na mtoa huduma kukimbilia kwenye mambo ya kugombana bila sababu kuwa hakukuwa na tatizo jamani kwani Kiingereza nakijua na nilichokuwa nimempa mwenzake ni ushauri tu.
Yeye wala hata hakuzungumza na mimi tena aliondoka ndipo nikasikia rubani akitangaza eti kuna tatizo la kiusalama na ndege itachelewa kuruka ili litatuliwe. Mara polisi wane hivi na muhudumu wa Precision wa kiume mmoja wakaingia ndani ya ndege na kusimama mbele yangu nilipokuwa nimekaa na kufunga mkanda. Mhudumu akaniambia inabidi au nikuamishwe kiti au ni ushushwe. Wakati huo huo wale polisi wakang'angania eti lazima nishuke. Nikauliza nitii amri ya nanai sasa? Polisi mmoja aliyeonekana kama mwenye kuwaongoza wale polisi wenziwe akainama akanifungua mkanda wa kwenye ndge akaninyanyua mkuku mkuku na kunitoa nje ya ndege.Hata begi zangu mbili za mkononi ilibidi niombe nikiwa chini nipewe.
Abiria waliokuwa karibi na nilipokuwa walishangaa na kusema kwani amefanya nini huyu baba . Lakini waliokuwa nyumba mabali hawakujua kilichotokea zaidi ya manaeno waliokuwa wamelishwa na rubani na wlae wahudu kuwa kuna baba kule mbele amnaleta fujo inabidi ateremshwe. Nikapelekwa kituo cha polisi hapo uwajani huku nikisikia wakinongonezana kuwa lazima kuniweka selo (lockup ).
Nikafanikiwa kumpigia Dr Antony Dialo simu akazungumza nao wale askari na wakaanza kuchukua maelezo yangu nikiwa nimeketi ofisini kwao kwenye kochi walau badala ya kuwekwa lockup... Baadaye nilipigia Ndugu Sungusia wa LHRC na Dr Antony Diallo wote wakanitumia wanasheria walionisaidia kuandika na kutia saini maelezo yangu. Wale wanasheria wakaniombea dhamana nikapata nikaruhusiwa kutoka pale kituoni lakini nikaamriwa kuripoti kituoni pale asubuhi kesho Jumatatu kwa maelekezo zaidi.
Wakati huo ndege ile ya Precision iliondoka ikaenda Bukoba na ikarudi tena baadaye kutoka Bukoba na ndipo nikamuona yule muhudumu wa kike wa pili eti ndiye anatoa maelezo juu ya eti mimi kufanya fujo. Yule muhudumu aliyewadanganya wenzake wote pamoja na rubani kuwa eti mimi nimefanya fujo wala hakutoka nje ya ndege iliporudi kutoka Bukoba kutoa maelezo.
Katika sakata lote ili yule abiria aliyeketi kushoto kwangu siti namba 2A wala hakuhojiwa na rubani wa ndege ile kujiahakikishia kama madai ya eti mimi kufanya fujo yalikuwa ya kweli na wala hata polisi waliotekereza maelekezo ya rubani yakuniondoa ndani ya ndege mkuku mkuku hawakujiangaisha kuuliza yule abiria jirani yangu aliye kuwa siti 2A kama ni kweli mimi nilifanya fujo yoyote au nilitoa maoni tu juu ya matumizi ya Kiswahili katika kutoa maelezo ya juu ya kipi cha kufanywa wakati wa dharura.
Hadi sasa bado sijaelewa kisa kilichomfanya yule mhudumu atahamaki na kunibambikizia tuhuma ya kufanya fujo yarabi... maana hakukuwepo hata na kubadirishana maneno kwa ukali kwa upande wake au wangu. Nimebaki nimeduwaha hadi sasa kuwa hivi ni kweli miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru nimekatishiwa safari yangu kwa kutoa maoni tu ambayo mhudumu yule wa shirika la ndege binafsi angeweza kupuuza.
Bado sipati maelezo kwa nini haya yalinitokea zaidi ya kuhisi kuwa haya ni matokeo ya mfumo wa kuandaa wahudumu wa ndege wa Precision unaowavimbisha kichwa kuwa kwa kutamka kwa rubani kuwa kuna abiria anafanya fujo hiyo inatosha abiria yule kunyanyaswa kama nilivyonyanyaswa na kudhalilishwa kwa kutuhumiwa kufanya fujo ndani ya ndege.
Lazima nikiri hata hivyo kuwa maafisa Kadhaa wa kituo cha polisi cha uwanja wa ndege pale Mwanza walinionesha uungwana sana na walikuwa wakarimu kwangu kuliko hata wahudumu wale wawili wa Precsion Air.iyeketi kushoto kwangu siti namba 2A wala hakuhojiwa na rubani wa ndege ile kujiahakikishia kama madai ya eti mimi kufanya fujo yalikuwa ya kweli na wala hata polisi waliotekereza maelekezo ya rubani yakuniondoa ndani ya ndege mkuku mkuku hawakujiangaisha kuuliza yule abiria jirani yangu aliye kuwa siti 2A kama ni kweli mimi nilifanya fujo yoyote au nilitoa maoni tu juu ya matumizi ya Kiswahili katika kutoa maelezo ya juu ya kipi cha kufanywa wakati wa dharura. ondoka ikaenda Bukoba na ikarudi tena baadaye kutoka Bukoba na ndipo nikamuona yule muhudumu wa kike wa pili eti ndiye anatoa maelezo juu ya eti mimi kufanya fujo.
Yule muhudumu aliyewadanganya wenzake wote pamoja na rubani kuwa eti mimi nimefanya fujo wala hakutoka nje ya ndege iliporudi kutoka Bukoba kutoa maelezo. o simu akazungumza nao wale askari na wakaanza kuchukua maelezo yangu nikiwa nimeketi ofisini kwao kwenye kochi walau badala ya kuwekwa lockup... Baadaye nilipigia Ndugu Sungusia wa LHRC na Dr Antony Diallo wote wakanitumia wanasheria walionisaidia kuandika na kutia saini maelezo yangu.
Wale wanasheria wakaniombea dhamana nikapata nikaruhusiwa kutoka pale kituoni lakini nikaamriwa kuripoti kituoni pale asubuhi kesho Jumatatu kwa maelekezo zaidi. walishangaa na kusema kwani amefanya nini huyu baba . Lakini waliokuwa nyumba mabali hawakujua kilichotokea zaidi ya manaeno waliokuwa wamelishwa na rubani na wlae wahudu kuwa kuna baba kule mbele amnaleta fujo inabidi ateremshwe. Nikapelekwa kituo cha polisi hapo uwajani huku nikisikia wakinongonezana kuwa lazima kuniweka selo (lockup ). tena aliondoka ndipo nikasikia rubani akitangaza eti kuna tatizo la kiusalama na ndege itachelewa kuruka ili litatuliwe.
Mara polisi wane hivi na muhudumu wa Precision wa kiume mmoja wakaingia ndani ya ndege na kusimama mbele yangu nilipokuwa nimekaa na kufunga mkanda. Mhudumu akaniambia inabidi au nikuamishwe kiti au ni ushushwe. Wakati huo huo wale polisi wakang'angania eti lazima nishuke. Nikauliza nitii amri ya nanai sasa? Polisi mmoja aliyeonekana kama mwenye kuwaongoza wale polisi wenziwe akainama akanifungua mkanda wa kwenye ndge akaninyanyua mkuku mkuku na kunitoa nje ya ndege.
Hata begi zangu mbili za mkononi ilibidi niombe nikiwa chini nipewe.hi kutoa ushauri huu hapo nyuma kwa mhudumu mwingine wa Precision Air na yeye alinijibu kwa heshima kabisa kuwa wao maelezo wameambaiwa lazima wayatoe kwa Kiingereza. Mara yule mhudumu wa kwanza akaondoka akaja mhudumu mwingine wa kike akasema kama sijui Kiingereza niamishwe nikamjibu wa taratibu na tabasamu langu la kawaida ninalolitoa katika mazingira kama haya ya dalili za kukosekana busara na mtoa huduma kukimbilia kwenye mambo ya kugombana bila sababu kuwa hakukuwa na tatizo jamani kwani Kiingereza nakijua na nilichokuwa nimempa mwenzake ni ushauri tu. na haja maana mimi najua kiingereza maana ni mwalimu wa siku nyingi wa Kiingereza lakini nilichokuwa nashangaa ni kwa nini nyie wahudumu mnapenda kutoa maelezo kwa Kiingereza wakati mgeyatoa maelezo hayahayo kwa Kiswahili mara baada ya kujua kuwa sisi ni Watanzania na tunajua Kiswahili vizuri zaidi kuliko Kiingereza.
Binti huyo nikaona ametaamaki na kuanza kusema lazima niteremshwe.ipanda ndege Flight PW 0492 iliyotarajiwa kuondoka Mwanza saa 3 dakika 50 asubuhi kuelekea Bukoba. Nilikuwa nimekaa kiti namba 2B na mtafiti mmoja anayefanya kazi Maruku Tea Estate huko Bukoba alikaa kiti na. 2A kwenye dirisha kushoto kwangu. Wakati ndege inaanza kukuelekea inakoruka alikuja mhudumu wa kike akatuuliza na yule mwenzangu kama tunajua Kiingereza na mimi nikasema kwa utani huku nikicheka kuwa tunajua kidogo.
Yule muhudumu gafla akatahamaki akasema kama sijui kiingereza aniamishe kiti. awashukuru wote kwa kunipa pole. Wanasheria wa rafiki yangu binafsi Dr Antony Diallo, mmiliki wa Star Tv na Radio Free Africa, na wanasheria waliotumwa na Nd. Sungusia wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ( Legal and Human Rights Centre, LHRC) chenye makao makuu Dar es Salaam walifika kituo cha polisi cha kiwanja cha ndege Mwanza na wakafanikiwa kuniwekea dhamana na hivyo niko nje kwa dhamana vinginevyo ningelala selo ndugu zangu _Kesho nitaripoti polisi kufuatilia juu ya kesi iliyofunguliwa dhidi yangu na Precision kanma itaenda mahakamani au vipi.
Friday, January 24, 2014
Sunday, January 19, 2014
walioivana na kupendana sana
tangu wakiwa wadogo mpaka
walipomaliza shule na kuanza kazi
wakiwa pamoja.
Mtafya yeye alifanikiwa kuwa
mfanyabiashara na Nolesy yeye
akabahatika kuwa wakili wa
kujitegemea.
Wote walipata umaarufu katika
kazi zao na wakawa wakikaa
katika nyumba moja ya kupanga
na kila mara baada ya kazi
walionekana pamoja na hata ile
mida ya chakula walikula pamoja
na kisha kurudi makazini mwao.
Mwaka mmoja baadae Mtafya
alifanikiwa kujenga nyumba na
wote wakahamia na kuishi kwa
pamoja.
Nolesy yeye alikuwa na gari na
kwa kuwa hakuwa na safari nyingi
zaidi ikabidi gari liwe linatumiwa
na mtafya ambaye yeye alikuwa na
shughuli mbalimbali za kibiashara.
Maisha yakazidi kuwa mazuri na
wakasaidiana mpaka Nolesy
akajenga na kuhamia katika
nyumba yake na maisha yakawa
mazuri na wakakubaliana
kuendelea kulitumia lile gari kwa
pamoja.
Haikupita muda Nolesy akaamua
kumuoa rafiki yake wa miaka
mingi aitwaye Habiba na harusi
ilifana sana chini ya uenyekiti wa
mtafya.
Maisha yakaufungua ukurasa mpya
na sasa mtafya akawa lazima ale
chakula cha asubuhi, mchana na
jioni pale kwa Nolesy.
Na kwa kuwa gari lilikuwa
likitumika na mtafya alitakiwa
kumpitia asubuhi swahiba wake
kwenda kazini baada ya kupata
chai, mchana wakati wa chakula
na jioni wakitoka kazini na baada
ya mizunguko.
Kama haitoshi mara moja moja
kwa kuwa Nolesy alibanwa na kazi
za kimahakama hivyo mtafya
alimsindikiza shemeji yake Habiba
sokoni kwa ajili ya kutafuta
mahitaji nyumbani na hali ile
ilidumu.
Tetesi zikaanza kuenea mtaani
kuwa Mtafya anatembea kimapenzi
na shemeji yake na habari hizo
zikamfikia Nolesy.
Nolesy hakuwa na pupa
akaendelea kufuatilia mpaka siku
moja saa saba mchana
alipowafumania katika chumba
kimoja cha hoteli iliyojificha
ambako yeye alienda kwa shughuli
za kikazi kabla ya kuwafuma baada
ya kuliona gari lake na begi ya
mkewe ikiwa kwenye siti ya mbele
bila wao na kisha kumwomba
mhudumu ampeleke akidai ana
ahadi nao.
Nolesy baada ya kuwafumania
hakusema kitu zaidi ya
kuwasalimia kisha akarudi mpaka
pale ofisini akamalizana na
mwenyeji wake kisha akarudi zake
nyumbani.
Huku nyuma mtafya na habiba
jasho likawa lawatiririka wasijue
nini cha kufanya.baadae
wakaamua kuondoka zao mpaka
karibu na kwa Nolesy kisha
akamshusha habiba na habiba
kwa upole akaingia nyumbani.
Akamkuta Nolesy akiwa
kashaandaa chakula na kamwekea
maji ya kuoga na kumwomba mke
wake akaoge na akaja wakala na
Nolesy akawa kama kawaida bila
kumuuliza kitu na uchangamfu ule
ule.
Hali ile ilidumu kwa siku kadhaa
kabla ya habiba kukimbilia kijijini
kwao kwa baba na mama yake
ambako hakuongea kitu kwa aibu
na hofu.
Siku chache baadae Nolesy
akamfuata na kumrudisha
nyumbani bila ya kuwaambia
wazee nini kilitokea hata pale
habiba alipolazimishwa aombe
msamaa yeye alisema hajakosewa.
Zikapita wiki kadhaa tangu warudi
mjini na ikawa ni siku nyingi tangu
Mtafya waonane na Nolesy pale
hotel akiwa na mkewe, hivyo
ikambidi Nolesy amwambie habiba
waende kwa mtafya.
Kufika pale wakaona ni kama
nyumba haina mtu kwani gari
lilikopaki ni kama halijaondolewa
kwa siku kadhaa na kuingia ndani
wakamkuta Mtafya akiwa kalala
kwenye sofa na inaonyesha huwa
hatoki zaidi ya kula mikate na
chupa za bia zilizozagaa pale
ndani.
Kuwaona tu akaanza kulia na
kumwomba msamaha Nolesy kwa
kutembea na mke wakati wao
walikuwa marafiki.Nolesy
akasema nimekusamehe na
nilishasahau ila nimemleta huyu
akae akusaidie maana inaonyesha
huwa huli hapa wala kufanya kazi.
Habiba alitaka kukataa lakini
alisalimu amri baada ya Nolesy
kuonyesha hana masiara. Na
kumwambia kuwa kama itatokea
siku naye mtafya akasalitiwa na
habiba kamwe asimdhuru na
kuwa kimya kama yeye Nolesy
alivyowafanyia na kisha
akaondoka.zake na kuwaacha.
Zikapita siku, mara miezi huku
mtafya akiwa anakaa na habiba
kama mke wake na Nolesy
akiendelea na kazi zake za kila siku
akiwa na furaha na kampata
mchumba mpya aitwaye Rehema.
Siku moja Mtafya akawa anasafiri
kutoka pale mjini kwenda kijijini
kuangalia miradi yake. Kufika njiani
akapata tatizo la gari, ikambidi
aliache gari pale na fundi ili yeye
arudi nyumbani kuchukua gari
lingine ili aendelee na safari.
Kufika nyumbani kwake akaona
mlango uko wazi na kuingia moja
kwa moja mpaka chumbani na
kuona habiba akiwa na rafiki yake
aitwaye Salva wanakula tunda la
mtu wa kati kati.
kwa hasira akachukua kisu na
kumchoma Salva na kelele za
habiba zikawaita majirani na kuja
pale kabla ya Mtafya kuchukuliwa
na kupelekwa polisi kwa kesi za
kumuua mgoni wake.
Habari zile zikamfikia Nolesy
ambaye akatumia nguvu na uwezo
wake wa kitaaluma mpaka Mtafya
akaachiwa huru na mahakama
kwa kuua bila kukusudia na kurudi
uraiani baada ya kukaa mahabusu
kwa zaidi ya mwaka na nusu.
Baada ya kutoka mtafya akajiuliza
maswali mengi:
1. Nilitembea na mke wa Nolesy na
kuusaliti urafiki wetu na akaniacha
huru bila kunidhuru.
2. Nikakaa kwa msongamano wa
mawazo akaja na kuniambia
amenisamehe
3. Nimeua baada kumfumania mtu
na mke wangu na bado akajituma
na kunitoa na niko uraiani......
Ananitakia nini mimi
NOLESY?????????
BAADA YA KUTOPATA MAJIBU YA
MASWALI HAYO HATIMAYE MTAFYA
ALIAMUA KUJINYONGA
Tafadhali usisahau ku LIKE Page Hii
Saturday, January 18, 2014
LOWASA AANZA KUHUJUMIWA
MKAKATI wa Edward Lowassa kutaka kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huenda ukakwama baada ya baadhi ya vigogo ndani ya chama hicho kupanga mkakati wa kutaka kumfukuza, imefahamika.
Taarifa za ndani ya CCM zinasema mpango wa kutaka kumfukuza Lowassa kutoka chama chake unatokana na hofu ya baadhi ya wagombea wenzake wanaohaha kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete mwaka 2015.
Vyanzo vya habari zetu vimemnukuu mmoja wa vigogo waandamizi ndani ya chama hicho akisema, mkakati wa kumvua Lowassa uanachama unasukwa kwa ustadi mkubwa na kigogo mmoja mwandamizi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama na serikali.
“Huyu bwana tayari ameanza mikutano ya kampeni, hata kabla ya chama chetu kutoa mwongozo. Anazunguka nchi mzima kusaka urais. Huku ni kuvunja taratibu. Tutakutana na kumdhibiti,” ameeleza mtoa taarifa wa gazeti hili kwa sharti la kutotajwa gazetini.
Taarifa zinasema mkakati wa kumfukuza Lowassa utaegemea hoja kuu mbili:
Kwanza, ni madai kuwa Lowassa ameanza kampeni kabla ya chama chake kutoa mwogozo; kujenga mtandao wa ushindi na kudaiwa kupanga safu za uongozi; jambo ambalo linaweza kukidhoofisha chama chake.
Kuhusu tuhuma za kuanza kampeni mapema, mtoa taarifa anasema, Lowassa anatuhumiwa, pamoja na mambo mengine, kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano na baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), wenyeviti wa mikoa na makada wengine wa ngazi za kati na kuwashawishi kumuunga mkono katika mbio zake za kusaka urais.
Hata hivyo, mkakati wa kumfukuza Lowassa kwa madai ya kuanza kampeni mapema waweza kukwama kwa kuwa mmoja wa wagombea anayepigiwa chapuo na walioko madarakani, naye tayari ameanza kampeni.
Pili, mkakati wa kumfukuza Lowassa, unatajwa kujikita kwenye madai ya kuhusika kwenye ufisadi wa mkataba tata wa kufua umeme wa kampuni ya Richmond Development Company (RDC).
Wakati mkabata huo unafungwa, Lowassa alikuwa waziri mkuu wa Jamhuri. Alitajwa na Kamati Teule ya Bunge, kwamba ndiye aliyeshinikiza watendaji serikalini kuipa kampuni hiyo kazi ya kufua umeme. Ilithibitika baadaye kuwa kampuni haikuwa na uwezo, ujuzi wala sifa ya kufanya kazi iliyopewa.
Mtoa taarifa anasema, ni mara baada ya mkutano ambapo taarifa zake zilivuja kwenye chama na serikalini na mpango wa kumfukuza ukafufuliwa upya.
mwandishi wetu alipowasiliana na kiongozi mmoja mstaafu serikalini kuhusu kufukuzwa kwa Lowassa na iwapo mkakati huo unaweza kufanikiwa, haraka alisema, “Hata mimi nimesikia. Nami nimewauliza kama ambavyo unaniuliza wewe, kwamba ‘mtaweza?’”
Anasema amewaambia kuwa huyu bwana (Lowassa) tayari amejijenga ndani ya chama na kwamba hatua yoyote ya kumfukuza sasa inaweza kukivuruga zaidi chama hicho.
Akiongea kwa hasira kigogo huyo alisema, “Huyu bwana (Edward Lowassa), anataka kutuharibia chama chetu. Lazima tumfukuze. Tutaitisha vikao vya Kamati Kuu (CC) na NEC kumjadili. Tunataka tulifanye hili kabla ya mambo kuharibika zaidi.”
Hata hivyo, wapinzani wa mkakati wa kumfukuza Lowassa wanasema, kufanikiwa kwa mpango huo kutakigharimu mno CCM kuliko kumuacha Lowassa hadi mwisho akapigiwa kura na kukataliwa na wajumbe wa vikao vya vyama, mtoa taarifa anasema, Lowassa alitangazia wafuasi wake kuwa ameanza mbio za kutafuta urais; aliahidi kupambana hadi mwisho.
Kuibuka kwa taarifa hizi za kutaka kumdhibiti Lowassa kwa tuhuma za kuanza kampeni kabla ya muda, kumekuja wiki tatu baada ya gazeti hili kuanika orodha ya watu 14 wanaotajwa kutaka kuwania urais, miongoni mwao wakiwa wale wanaodaiwa kuwa tayari wameanza kampeni.
Miongoni mwa wanaotajwa kuanza kampeni, ni Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Bernard Membe, aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Mambo ya Ndani, Emanuel Nchimbi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Steven Wassira na aliyepata kuwa waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja.
Katika mbio hizo, Membe anatajwa kuunganisha nguvu na Migiro kwa upande mmoja na Samwel Sitta kwa upande mwingine.
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema, muungano kati ya Membe na Sitta unasukumwa na agenda ya kukabiliana na nguvu ya Lowassa.
“Hata muungano kati ya Membe na Migiro, nao ni kama muungano kati ya Membe na Sitta. Yote hii, inasukumwa na kukabiliana na Lowassa. Sasa ikitokea Lowassa akakatwa mapema, nao hawa wataanza kukimbiana, kila mmoja akitafuta urais kivyake. Maana wataona yule anayewanyima usingizi tayari atakuwa ameshaondoka,” ameeleza mtoa taarifa wetu.
Anasema, “Hata hawa, kama alivyo Lowassa, tayari wameanza kampeni. Mwishoni mwa mwezi uliopita, Membe alikuwa Iringa, ambako pamoja na mambo mengine alikutana na makundi mbalimbali ya watu na kutangaza kugombea urais,” ameeleza kigogo mmoja wa chama hicho kwa sharti la kutotajwa gazetini
Friday, January 17, 2014
HII IMETOKA JAMII FORUM KAMA ILIVYO
KAULI TATA AMBAZO ZINAZUA MASWALI MENGI KUTOKA KWA MH:FREEMAN AIKAEL MBOWE NI HIZI
1. Kupitia gazeti la majira la wiki tatzu zilizopita Mh.Freeman mbowe alinukuliwa akisema Yupo tayari kuachana na chadema wakati wowote atakapo amua.Kauli hii ni tata na mlengo wake unazua maswali mwengi sana.
Tujiulize mbowe anasema kuwa anatakuacha na siasa za CHADEMA wakati wotete Je ni kwamba amechoka kupigana na CCM?Au ameshavuna mazao ya siasa na hahitaji tena kuendelea kuyala?
Naweza kwenda mbali kabisa kwamba Mbowe anapotangaza kuachana na siasa za CHADEMA ni kwamba anataka kuudhihirishia umma kuwa CHADEMA si mali yake(familia) kama wengi wanavyokitafsili?
Lakini kauli kama hii mbowe haoni kama anakatisha tamaa kwa viajana ambao wamekuwa wakijiunga na CHADEMA kutokana na yeye kuwa mwanaharakati makini kwa muda mrefu?
2. Kupitia GAZETI LA TANZANIA DAIMA wiki iliyopita Mh.Mbowe alitangaza kumkaribisha waziri mkuu wa zamani Mh.Fredrick sumaye kwenye ulimwengu wa siasa za CHADEMA.Swala hili hakika linazua maswali mengi sana.Ikumbukwe SUMAYE ni mmoja ya mafisadi papa wa nchi hii na alikuwemo kwenye LIST OF SHAME iliyosomwa na CHADEMA pale mwembe yanga.Je sumaye ameshakuwa msafi kiasi kwamba anapewa nafasi na CHADEMA?
Kelele za chadema siku zote ni kupingana na rushwa iweje leo mtuhumiwa mkubwa wa rushwa nchini kama sumaye aonekane muhimu mbele ya chadema na hatimaye kumtaka asajiliwe?
Lakini tuende mbali zaidi yawezekana MBOWE anamuita SUMAYE aje chadema kwa ile kauli ya WANYUMBANI NJOO NIKUSHIKE MKONO SIPO RADHI UFIE JANGWANI hatakama ni haramu??????.........ni siku chache sana SUMAYE amebwagwa kwenye uongozi ndani ya ccm na ameishia kulalama kuhusu kufanyiwa mchezo mchafu.
3. Kauli ya tatu tata zaidi ni ile aliyoitoa pale HAI alipokuwa anamkaribisha na kumshukuru Mh.Rais kikwete kwa utendaji wake.Mbowe alinukuliwa akisema"nimetembea angani na aridhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE."
Nachelea kusema maneno hayahaya yangesemwa na chama chochote kingine yangezua gumzo,au yange semwa na mwanachadema yeyote yule yangezua mjadala mkubwa wakitaifa.Naomba kuuliza hii ni kauli sahihi ya kiongozi wa upinzani kumwambia Rais wa nchi hata kama ana show appriciation ya kile kilichofanyika?
Hakuna lugha nyingine yakipinzani-yakusifia ambayoingetumika hapa???Mbowe huu ni wakati wakuwekana wazi kwa watanzania, KAMA UKOMBOZI UMESHAUZWA NI HERI WATANZANIA WAKAAMBIWA kuliko maneno kama haya ya kusifia kupitiliza as if nchi hii hakuna upinzani.WANA-JF nawasilisha naomba tujadiliane kwa makini namna kauli hizi zinavyoathiri chama na zinavyojenga chama.
UNAAMBIWA HUYU MTANGAZAJI ANAMILIKI JUMBA KALI ZAIDI LA HUKO MAREKANI, TAZAMA PICHA HAPA
Ellen DeGeneres ndio wanasema mtangazaji anayeishi kwenye jumba kali zaidi huko L.A Marekani. TMZ wame ripoti kuwa jumba hili ni kali na lenye thamani kubwa zaidi kuliko jumba lake la awali alilonunua.
Jumba lake la sasa lina thamani ya dola milioni $39,888,000 na linaitwa The Brody House. Kiwanja kina eka 2.3 , vyumba sita vya kulala, mabafu sita, bwawa la kuogelea , sehemu ya mazoezi na uwanja wa kucheza tennis.