MAJANGA: BARABARA HATA MWEZI HAUJAISHA YAANZA KUWEKWA VIRAKA VYA SARUJI JIJINI MBEYA
Barabara kuu ya itokayo katikati ya jiji la Mbeya kwenda Mbalizi kupitia Mabatini Meta imeanza kuharibika mapema toka lami iwekwe takribani mwezi mmoja uliyopita hii ndiyo halisi ya barabara hiyo |
kweli hii barabara itamaliza mwei huu? |
Wahusika mpoooo |
Tayari baadhi ya maeneo ya barabara hiyo mashimo yameanza kuzibwa na tope la saruji |
Picha yenyewe inajieleza je hii ni halali? |
No comments:
Post a Comment